• No results found

Waswifu wa Ahmed Sheikh Nabhany

N/A
N/A
Protected

Academic year: 2022

Share "Waswifu wa Ahmed Sheikh Nabhany"

Copied!
1
0
0

Bezig met laden.... (Bekijk nu de volledige tekst)

Hele tekst

(1)

396039 780954

9

ISBN 978-0-9543960-3-9

90000 Amira Msellem Said ni msaidizi

wake Sheikh Nabhany. Yeye pia ni mzaliwa wa Lamu na mwandishi wa mashairi, nyimbo, na riwaya. Ameshiriki katika jopo mbalimbali kuhusu lugha na utamaduni wa waswahili, hasa katika RISSEA, Mombasa.

Sheikh Ahmed Nabhany (OGW) alizaliwa Amu (Lamu) kisiwani mwaka 1927. Ni mshairi na msomi wa Kiswahili maarufu ulimwenguni. Walimu wake Sheikh Abdalla Bakathiri (Kadara), na Sheikh Bwanarehema Faraj wa Pate walimpa cheo cha Shaha, yaani bingwa wa tungo za Kiswahili. Nyanya yake Bi Amina Abubakar Sheikh alikuwa Shaha, na mwalimu wake pia. Sheikh Nabhany ni gwiji wa lugha, mila na desturi za waswahili.

Amechangia katika halmashauri za lugha nchini Kenya na Tanzania, na ametambuliwa na vyuo vikuu na hata serikali kwa sababu ya kazi zake. Aendelea kufunza vizazi vya waswahili, na wasomi kutoka nchi za Ulaya na Amerika ambako amealikwa na vyuo mbalimbali mara kadhaa. Sheikh Nabhany ni Msaidizi wa Utafiti wa Mambo ya Ulimbe (Assistant Research Scientist) wa Taasisi ya Uchunguzi wa Waswahili ya Mashariki mwa Afrika (TUSIMA), ijulikanayo pia kama Research Institute of Swahili Studies of Eastern Africa (RISSEA).

JC Press

Amira Msellem Said JC Press

Waswifu wa Ahmed Sheikh Nabhany

AmiraMsellemSaidWaswifuwaAhmedSheikhNabhany

Referenties

GERELATEERDE DOCUMENTEN

v.240 declared the widow's entitlement to both financial provision and accommodation from the dead husband's estate, up to a maximum period of twelve months, a legal right

This type of pronoun sys- tem is found also in Palaung and other Northern Mon-Khmer languages, though in a Mainland Southeast Asian context it is unusual for a basic pronoun system

Tournoysveld Anton

Wij laten uw motorrijtuig en/of aanhangwagen bergen en vervoeren naar een bestemming van uw keuze in Nederland.. 2.2

Premiewijziging die hieruit voortvloeit, wordt niet aangemerkt als wijziging van de verzekering zoals omschreven in Hoofdstuk Herziening van tarieven en/of voorwaarden. Hoofdstuk 6

Of wanneer de bestuurder door die schade op dat moment niet meer verder kan rijden, en er ook geen andere inzittende is die de auto kan besturen.. 2.3.1 Hulpverlening

De dekking voor expertise door een expert die door verzekeringnemer is benoemd, geldt alleen voorzover sprake is van redelijke kosten met een maximum van de kosten van expertise door

Berging en vervoer van het beschadigde motorrijtuig en/of de aanhangwagen naar één door verzekerde te bepalen adres in Nederland..